Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

Tuesday, December 25, 2018

Saturday, June 23, 2018

GOODLUCK GOZBERT AJAKIVINGINE JUKWAANI,MAELFU YA WATU YA MLILIA WAKATI AKIIMBA JUKWAANI

 Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Goodluck Gozbert,Ambaye Kwasasa Anatamba Na Nyimbo Yake Mpyaaa Kabisa Ya Mwaka 2018,Leo Alikuwa Miungoni Wa Waimbaji Walio Perform Katika Tamasha Kubwa La Twen'zetu Kwa Yesu,Lililo Fanyika Jumamosi Ya Tarehe,23-06-2018,,,,,Katika...

Thursday, June 14, 2018

MOSHI -KILIMANJARO SHINE FM 95.1 WITH KING MWANGASA AND PROPHET LINUS TESHA

Usipange Kukosa Kongamano Kubwa La Kukumbukwa na Bwana. From 14-17/6/2018. Ufufuo Na Uzima Viwanja Vya Ndani Ya Soko La Maimoria. ...

KONGAMANO KUBWA LA KUKUMBUKWA NA BWANA MJINI MOSHI-KILIMANJARO

Bwana Atakukumbuka Na Kukutoa Katika Maangamizi Ya Viti Vya Enzi Nakualika Ndugu Fika Upate Kupokea Uponyaji Wako Na Baraka Za Mungu. Wote Mnakaribishwa!! ...

Wednesday, March 14, 2018

Friday, January 5, 2018

PATA CALENDER YAKO YA 2018 YENYE PICHA YA NABII LINUS TESHA.

Calender Mpya Za Mwaka 2018 Sasa Zitaanza kupatikana Mjini Dodoma Kanisani Kwa Nabii Linus Tesha,Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club. #Kwa Mawasiliano Piga 0713040730. Wote Mnakaribishwa pata calendar yako iliyoombewa na Nabii linus Tesha. ...

Friday, December 22, 2017

Thursday, December 21, 2017

FOR THE BEST SERVICE MEET UNIQUE 1 PRODUCTION TANZANIA.

Unique 1 Production Tanzania inakuletea kazi mbalimbali,kama video shoot katika sherehe mbalimbali,Graphicx design,website & Blog Design,Online magazine design,Photo location,cd cover design,Kwa Mawasilino Zaidi Piga:07130407...

Monday, December 11, 2017

Wastahili Sifa-GoodluckGizbert

https://youtu.be/Y46Q2UH8...

Moyo Tulia -Goodluck Gozbert

https://youtu.be/CJXjx0Xs...

Goodluck Gozbert Aacha Midomo Wazi Katika Stage.

https://youtu.be/4HaTOpWZ...

Sunday, December 10, 2017

NIMEMPATA YESU BY RACHEL MGONA OFFICIAL VIDEO COMING SOON.........

Ngoma Kali Ya Gospel Inayokwenda Kwa Jina La Nimempata Yesu ,Iliyo imbwa na Rachel Mgona,Nyimbo Hii Imebeba Ujumbe Ambao Utakapo Sikiliza Nyimbo Hii,Itakujenga Na Kubadili Maisha Yako Hasa Pale Ulipo Kata Tamaa.....Kaa Tayari Video Coming Soon......... Kwa Matangazo Kupitia...