Unique 1 Production

Friday, October 14, 2016

PROPHET FRANK ATAFANYA MKUTANO MKUBWA WA KINABII BUKOBA TAREHE 28-30 MWEZI 10, 2016.

Shiloh International Ministries inakuletea mkutano mkubwa wa Kinabii utakao fanyika Mkoani BUKOBA katika viwanja vya Gymkhana kuanzia tarehe 28-30 mwezi huu wa 10,2016 ambapo mnenaji mkuu atakuwa ni Nabii Frank Julius Kilawah upatapo Tangazo hili mjulishe na mwingine.

0 comments:

Post a Comment