Unique 1 Production

Friday, October 14, 2016

MARTHA MWAIPAJA ASHEREKEA BIRTHDAY YAKE LEO.

Jana tarehe 13.10.2016 ilikuwa ni siku ya mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzani MARTHA MWAIPAJA kusherekea siku yake ya Kuzaliwa.Ilikuwa siku ya pekee sana ambapo watu wengi walitumia fursa hii kumtakia heri na Baraka tele katika mafanikio ya kuineza injili Duniani kote kwanjia ya kuimba.

0 comments:

Post a Comment