Unique 1 Production

Monday, October 10, 2016

HONGERA GLADYS PJO KIMARO KWA KUZALIWA LEO.

Siku zote unapo zaliwa ndipo unapo uanza mwaka na unapobahatika kuunza Mungu ni bahati na Baraka za pekee sana maana sikila mtu anaweza kuiona siku ya kuzaliwa kwake isipokuwa ni kwa uweza wa Mungu Baba mwenyezi na leo Tunafuraha sana kumpongeza Gladys pjo Kimaro heri ya kuzaliwa kwake na mafanikio tele maishani mwake na Damu ya Yesu ikamfunike siku zote.

0 comments:

Post a Comment