Unique 1 Production

Monday, October 10, 2016

MTINDO GWITEGO AJANASTAILI MPYA.

MTINDO GWITEGO atangaza rasmi jina la kikundi chake kipya ambacho ni HALLELUYAH WORSHIPPERS na hivi karibuni ataambata na timu hiyo mikoa yote ya Tanzania kutangaza neno la Mungu kwanjia ya Kumsifu na Kumuabudu Mungu pia ndani ya kikundi hicho utapata kujifunza masomo mbalimbali hasa namna ya kulijua vizuri neno la Mungu na kuwa kiongozi bora hapo baadae.

0 comments:

Post a Comment