Unique 1 Production

Friday, October 14, 2016

CATHERINE MKOMA AFANYA NYIMBO MPYA NCHINI KENYA.

Mara baada ya kumaliza uzinduzi wa YVONNE ANTONY The GOSPEL ARTIST TOKA TANZANIA CATHERINE MKOMA Alikwenda studio za mjini mombasa Kenya kufanya collaboration ya nyimbo mpya akiwa yeye na YVONNE ANTONY pamoja na ELIZABETH ANTONY Nyimbo inayokwenda kwa jina la SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA sasa KENYA kaa Tayari kwa nyimbo mpya yenye ujumbe mzuri wa MUNGU.

0 comments:

Post a Comment