Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

Sunday, December 25, 2016

DIR OSWALDJR NDANI YA DODOMA FM 98.4

nikiitangaza huduma ya mafunuo na ukombozi chini ya mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha ambapo huduma hiyo inapatikana DODOMA nyuma ya Bunge mkabala na veta club pia kwa Dar es salaam huduma hii inapatikana njia panda segerea nyuma ya magodauni...

Wednesday, December 7, 2016

MAJOR PROPHET LINUS TESHA KUFANYA SEMINA YA HATIMA NJEMA I/JUMA-J/PILI WIKI HII.

HII SIO YA KUKOSA SEMINA KUBWA YA HATIMA NJEMA(GOOD DESTINY) ITAANZA IJUMAA MPAKA JUMAPILI YA WIKI HII SEMINA ITAENDESHWA NA MAJOR PROPHET LINUS TESHA MUDA WA KUANZA NI SAA TISA MCHANA MAHALI NI NJIA PANDA SEGEREA,NYUMA YA MAGODAUNI YA USHIRIKA -DAR ES SALAAM TANZANIA,KUMBUKA...