Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Tuesday, November 21, 2017

Friday, November 17, 2017

NABII LINUS TESHA KUTUA DODOMA LEO

Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Tanzania,Ametua Dodoma Leo Kwaajili Ya Event Kubwa Ya Sherehe Ya Miujiza Tanzania,Event Itaanza Tar 23-26.11.2017,Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club,Usipange Kukosa.Watu Wote Mnakaribishwa.
Kwa mawasiliano piga.0713040730.

Wednesday, November 8, 2017

MWL.DEBORAH LEMA PROJECT 3 DODOMA

Ungana na Mwalimu Deborah Katika Project Hii Anayotarijia Kufanya mkoani Dodoma,Tarehe 15/11/2017,Hakikisha Unamsupport Katika Project Yake,Kumbuka Tunapowakumbuka Wahitaji,Tunafanya ibada na Mungu Hufurahi pia.
kwa Matangazo Mbali mbali Kupitia Blog Yetu Piga 0713040730.
#Director Oswald Tesha.

Sunday, November 5, 2017

VIDEO PRODUCTION,PHOTOGRAPHS,GRAPHICX DESIGN,SOCIAL NETWORKING,WEBSITE & BLOG DESIGN.......

Kutana Na Unique 1 Production Tanzania Kwa Kazi Mbalimbali Za Media Kuanzia Picha,video shooting,Graphicx Design,Website & Blog Design,Social Networking Mantainance,Photo Locations,
Pia Tunaandaa Matangazo Ya Crusade(Mikutano),Matangazo Ya Biashara,Shule Na Kadhalika,Je Unashughuli Yako,Unique 1 Production Inakukaribisha Unaweza Kutupigia Kwa Nambari 0713040730.