Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Tuesday, December 25, 2018

Saturday, June 23, 2018

GOODLUCK GOZBERT AJAKIVINGINE JUKWAANI,MAELFU YA WATU YA MLILIA WAKATI AKIIMBA JUKWAANI




 Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Goodluck Gozbert,Ambaye Kwasasa Anatamba Na Nyimbo Yake Mpyaaa Kabisa Ya Mwaka 2018,Leo Alikuwa Miungoni Wa Waimbaji Walio Perform Katika Tamasha Kubwa La Twen'zetu Kwa Yesu,Lililo Fanyika Jumamosi Ya Tarehe,23-06-2018,,,,,Katika Uwanja Wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,Temeke,

Goodluck Gozbert Amefanya Vizuri Sana Baada Ya Kuimba Nyimbo Zake,Huku Akishangiliwa Na Maelfu Ya Watu,Waliohudhuria Tamasha Hilo,


Pia Leo Amekuja Kivingine Wakati Akiingia Stejini,Nijambo Ambalo Limekuwa Surprise Kwa Watu Wengi,Huku Akishangiliwa Na Maelfu Ya Watu,Kwasasa Goodluck Gozbert,Ndiye Mwimbaji Bora Zaidi,Wa Nyimbo Za Injili Kutokana Na Ubunifu Wake Mkubwa Wa Uandaaji Wa Nyimbo Zake,Ambazo Zimebeba Jumbe Za Kufundisha,Huku Zikiwa Hazifungamani Na Dini Yeyote Ile.

Kwa Update Mbalimbali Piga 0713040730,Wote Mnakaribishwa.

Thursday, June 14, 2018

MOSHI -KILIMANJARO SHINE FM 95.1 WITH KING MWANGASA AND PROPHET LINUS TESHA

Usipange Kukosa Kongamano Kubwa La Kukumbukwa na Bwana.
From 14-17/6/2018.
Ufufuo Na Uzima
Viwanja Vya Ndani Ya Soko La Maimoria.

KONGAMANO KUBWA LA KUKUMBUKWA NA BWANA MJINI MOSHI-KILIMANJARO

Bwana Atakukumbuka Na Kukutoa Katika Maangamizi Ya Viti Vya Enzi Nakualika Ndugu Fika Upate Kupokea Uponyaji Wako Na Baraka Za Mungu.
Wote Mnakaribishwa!!

Wednesday, March 14, 2018

Friday, January 5, 2018

PATA CALENDER YAKO YA 2018 YENYE PICHA YA NABII LINUS TESHA.

Calender Mpya Za Mwaka 2018 Sasa Zitaanza kupatikana Mjini Dodoma Kanisani Kwa Nabii Linus Tesha,Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club.
#Kwa Mawasiliano Piga 0713040730.
Wote Mnakaribishwa pata calendar yako iliyoombewa na Nabii linus Tesha.