Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Thursday, May 4, 2017

SEMINA KUBWA YA UDHIIRISHO WA ROHO MTAKATIFU KUFANYIKA LEO MJINI DODOMA.

Usipange kukosa semina kubwa ya udhiirisho wa Roho mtakatifu ambapo kupitia mpakwa mafuta wa Bwana Major Prophet Linus Tesha anakwenda kuweka maisha yako huru kabisa mahala ni njia nyuma ya Bunge mkabala na veta club....kwa mawasiliano piga 0713040730.
Wote Mnakaribishwa.