Unique 1 Production

Thursday, May 4, 2017

SEMINA KUBWA YA UDHIIRISHO WA ROHO MTAKATIFU KUFANYIKA LEO MJINI DODOMA.

Usipange kukosa semina kubwa ya udhiirisho wa Roho mtakatifu ambapo kupitia mpakwa mafuta wa Bwana Major Prophet Linus Tesha anakwenda kuweka maisha yako huru kabisa mahala ni njia nyuma ya Bunge mkabala na veta club....kwa mawasiliano piga 0713040730.
Wote Mnakaribishwa.

0 comments:

Post a Comment