Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Saturday, July 29, 2017

CATHERINE MKOMA ATABIRIWA MAKUBWA NDANI YA USIKU WA TAMASHA LA KUSIFU.































Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Catherine Mkoma ,Pichani Akimsifu Jehovah Katika Tamasha Kubwa La Kusifu Lililo Fanyika Siku Ya Jana Kuamkia Leo Jijini Dar Es Salaam,Ubungo Msewe ,Mwimbaji Catherine Amefanyika Baraka Kubwa Kwa Watu Waliofika Ikiwemo Na Watumishi Wa Mungu Wa Kubwa Kutoka Nigeria,Ni Usiku Ambao Mwimbaji Huyu Cathrine Mkoma Kutabiriwa Baraka Kubwa Ya Uimbaji Wake Sasa Unakwenda Level Za Kimataifa Na Kupitia Karama Yake Ya Uimbaji Mungu Atabariki Wengi Kupitia Yeye.Kupata Kazi za Catherine Mkoma Wasiliana nasi Kwa 0713040730.Karibuni

Wednesday, July 12, 2017

BREAKING NEWS-KONGAMANO LA KITAIFA MJINI DODOMA BY PROPHET-LINUS TESHA

#Nabii Linus Tesha Amekuandalia Kongamano Kubwa La Kitaifa Mjini Dodoma Je Unahitaji Kutawala Na Kuimarika Sasa Ni Wakati Wako Nguvu Ya Mungu Itashuka Na Watu Watapokea Nguvu Ya Ustawi Mwema Hakikisha Unaalika Na Wengine .....Nabii Linus Tesha Anasema Tanzania Itastawi Tena.
#SAVE DATE 23-30/07/2017
#LOCATION:DODOMA.
#MAKE SURE YOU DON'T MISS THE CRUSADE.
-DIR OSWALDJR.
-UNIQUE 1