Unique 1 Production

Saturday, July 29, 2017

CATHERINE MKOMA ATABIRIWA MAKUBWA NDANI YA USIKU WA TAMASHA LA KUSIFU.































Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Catherine Mkoma ,Pichani Akimsifu Jehovah Katika Tamasha Kubwa La Kusifu Lililo Fanyika Siku Ya Jana Kuamkia Leo Jijini Dar Es Salaam,Ubungo Msewe ,Mwimbaji Catherine Amefanyika Baraka Kubwa Kwa Watu Waliofika Ikiwemo Na Watumishi Wa Mungu Wa Kubwa Kutoka Nigeria,Ni Usiku Ambao Mwimbaji Huyu Cathrine Mkoma Kutabiriwa Baraka Kubwa Ya Uimbaji Wake Sasa Unakwenda Level Za Kimataifa Na Kupitia Karama Yake Ya Uimbaji Mungu Atabariki Wengi Kupitia Yeye.Kupata Kazi za Catherine Mkoma Wasiliana nasi Kwa 0713040730.Karibuni

0 comments:

Post a Comment