Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Sunday, August 27, 2017

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.







Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,Siku Chache Mjini Dodoma Katika Kongamano La Kitaifa Mwimbaji Huyu Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Alipokea Unabii Wake Wa Siku Za Karibuni Atapokea Tuzo Ya Mwimbaji Bora Nchini Na Zaidi Ya Hapo Ataendelea Kufanya Vizuri Zaidi ,Nanukuu Goodluck Gozbert Ni Kijana Anayempenda Mungu Na Nyimbo Zake Zimekuwa Baraka Kwa Watanzania Na Nje Ya Tanzania Mungu Ameniambia Goodluk Gozbert Atazidi Kwenda Viwango Vingine Na Vikubwa Zaidi Na Hakuna Wa Kumzuia_Nabii Linus Tesha,Akaendelea Kusema Siri Ya Goodluck Gozbert Kufanikiwa ni Unyenyekevu Kwa Bwana,Na Unapojinyenyekeza Kwa Bwana Na Yeye Atakuheshimisha.
Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730.
Wote Mnakaribishwa.

Monday, August 21, 2017

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected.
Tupigie Kwa Nambari 0713040730

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video EditingWasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730.

DIR-OSWALD TESHA MKALI WA DESIGNING MEET ME EVERYDAY.

Waweza Wasiliana na Dir Oswald Tesha Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook,Instagram,Youtube,Website,Blog Pia Twitter Je Unahitaji Kufanya Matangazo Ikiwemo Na Undaaji Kabisa Basi Tupigie Kwa Nambari.0713040730.

OSWALDTESHA.COM

We reach You All Over The World.

UNIQUE 1 PRODUCTIONS WE REACH YOU WHERE YOU ARE.

Unique 1 Productions Connect You All Corner Of The World.....

Wednesday, August 16, 2017

NABII LINUS TESHA ,REV ADAM HAJI NA APOSTLE SAMUEL KUITIKISA DODOMA KWA SIKU MBLII..

Siku Ya Alhamis Tar 17/8 na Ijumaa Tar 18/8 Jijini Dodoma Imetembelea Na Mgeni Rev Adam Haji Ambapo Ataungana Na Watumishi Wa Mungu Wawili,Nabii Linus Tesha Na Mtume Samuel,Kukuletea Ukombozi Wa Maisha Ya Watu Mjini Dodoma Mkazi Wa Dodoma Hii Ni Kwaajili Yako Usipange Kukosa Matendo Makuu Ya Mungu Yata Dhiirika Mahali Ni Dodoma Mjini,Kikuyu,Mawasiliano Piga +255758920985.Hakikisha Unataarifu Na Wengine.....