Unique 1 Production

Sunday, August 27, 2017

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.







Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,Siku Chache Mjini Dodoma Katika Kongamano La Kitaifa Mwimbaji Huyu Wa Nyimbo Za Injili Tanzania Alipokea Unabii Wake Wa Siku Za Karibuni Atapokea Tuzo Ya Mwimbaji Bora Nchini Na Zaidi Ya Hapo Ataendelea Kufanya Vizuri Zaidi ,Nanukuu Goodluck Gozbert Ni Kijana Anayempenda Mungu Na Nyimbo Zake Zimekuwa Baraka Kwa Watanzania Na Nje Ya Tanzania Mungu Ameniambia Goodluk Gozbert Atazidi Kwenda Viwango Vingine Na Vikubwa Zaidi Na Hakuna Wa Kumzuia_Nabii Linus Tesha,Akaendelea Kusema Siri Ya Goodluck Gozbert Kufanikiwa ni Unyenyekevu Kwa Bwana,Na Unapojinyenyekeza Kwa Bwana Na Yeye Atakuheshimisha.
Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730.
Wote Mnakaribishwa.

0 comments:

Post a Comment