Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Friday, December 22, 2017

Thursday, December 21, 2017

FOR THE BEST SERVICE MEET UNIQUE 1 PRODUCTION TANZANIA.

Unique 1 Production Tanzania inakuletea kazi mbalimbali,kama video shoot katika sherehe mbalimbali,Graphicx design,website & Blog Design,Online magazine design,Photo location,cd cover design,Kwa Mawasilino Zaidi Piga:0713040730.

Monday, December 11, 2017

Wastahili Sifa-GoodluckGizbert

https://youtu.be/Y46Q2UH8tT4

Moyo Tulia -Goodluck Gozbert

https://youtu.be/CJXjx0Xsnq0

Goodluck Gozbert Aacha Midomo Wazi Katika Stage.

https://youtu.be/4HaTOpWZ6WA

Sunday, December 10, 2017

NIMEMPATA YESU BY RACHEL MGONA OFFICIAL VIDEO COMING SOON.........


Ngoma Kali Ya Gospel Inayokwenda Kwa Jina La Nimempata Yesu ,Iliyo imbwa na Rachel Mgona,Nyimbo Hii Imebeba Ujumbe Ambao Utakapo Sikiliza Nyimbo Hii,Itakujenga Na Kubadili Maisha Yako Hasa Pale Ulipo Kata Tamaa.....Kaa Tayari Video Coming Soon.........
Kwa Matangazo Kupitia Blog Yetu Piga 0713040730.
Wote Mnakaribishwa.

Saturday, December 9, 2017

NABII LINUS TESHA NDANI YA DAR ES SALAAM

Nabii Linus Tesha Ataonana na mtu mmoja mmoja siku ya Leo jamamosi kuanzia SAA nane mchana na kesho Jumapili kuanzia saa mbili Asubuhi usipange kukosa mahali ni njiapanda segerea nyuma ya godauni la ushirika,
Fika maisha yako yapate kufunguliwa.
Kwa mawasiliano piga.
#Dir Oswaldjr.
#Unique 1.

Thursday, December 7, 2017

NIMEMPATA YESU-RACHEL MGONA