Unique 1 Production

Saturday, December 9, 2017

NABII LINUS TESHA NDANI YA DAR ES SALAAM

Nabii Linus Tesha Ataonana na mtu mmoja mmoja siku ya Leo jamamosi kuanzia SAA nane mchana na kesho Jumapili kuanzia saa mbili Asubuhi usipange kukosa mahali ni njiapanda segerea nyuma ya godauni la ushirika,
Fika maisha yako yapate kufunguliwa.
Kwa mawasiliano piga.
#Dir Oswaldjr.
#Unique 1.

0 comments:

Post a Comment