Unique 1 Production

Tuesday, January 17, 2017

NABII LINUS KUANZA SEMINA YA KUFUNGUA BARAKA NA KUFUNGA MATESO MJINI DODOMA LEO

Leo Jumatano Mpaka Jumapili Nabii Linus Tesha ataanza Semina kubwa Mjini Dodoma ni semina ya kufunga mateso na kufungua Baraka Pia unakaribishwa kufika kanisani mahala ni Nyuma ya Bunge la Jamuhuri La Tanzania Mkabala na Veta club kwa mawasiliano zaidi piga 0713040730 Pia Nabii Linus Tesha ni Kiongozi Mkuu wa Makanisa ya MRD PROPHETIC MINISTRY TANZANIA.

0 comments:

Post a Comment