Unique 1 Production

Tuesday, March 7, 2017

IBADA KUU YA KIKUHANI KUSIFU NA KUABUDU KUFANYIKA MJINI DODOMA WIKI HII NA NABII LINUS TESHA.

Ibada kubwa ya Kikuhani ya kusifu na kuabudu kufanyika Jumapili Dodoma wiki hii ambapo mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha ataongoza ibada hii kubwa pia tunaalika waimbaji mbalimbali kufika kama wewe ni muimbaji tunapenda kutambua uwepo wako mapema kwa mawasiliano tupigie 0713040730 mahali ni nyuma ya Bunge mkabala na veta club Ibada inaanza saa sita mchana.upatapo Tangazo hili mjulishe na mwingine.
#source Mrd International Prophetic Ministries Tanzania.
#Dir Oswaldjr

0 comments:

Post a Comment