Unique 1 Production

Tuesday, March 7, 2017

AKUTANA NA MUUJIZA WA KUTEMBEA KANISANI BAADA YA NABII LINUS TESHA KUFANYA MAOMBI JUU YAKE




Ilikuwa ni Jumapili ya Kifalme mjini Dodoma Ambapo Mbaba mmoja alikuja na jeraha kubwa mguuni pake na jeraha hilo lilimfanya ashindwe kutembea kabisa wakati ibada inaendelea Nabii Linus Tesha aliona tatizo juu ya Baba huyo ndipo akamuombea na mara Baba huyo akatupa Gongo na kutembea Mwenyewe, hakika matendo ya Bwana ni hakika hata sasa.

0 comments:

Post a Comment