Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

Friday, March 17, 2017

DIR MBANGWA HASSAN ANAKULETEA ACHANA NAO BY BAHATI BUKUKU NEW GOSPEL HIT SONG.

Utakosaje kazi mpya toka kwa Director mkali wa ngoma video za gospel sasa aachia Achana nao ya Bahati bukuku kuitazama hii video nenda youtube moja kwa moja andika achana nao . #This is Dir mbangwa Hassan Season kazi kali kama kawa sasa ni level za kimataifa. #Achana...

Tuesday, March 7, 2017

AKUTANA NA MUUJIZA WA KUTEMBEA KANISANI BAADA YA NABII LINUS TESHA KUFANYA MAOMBI JUU YAKE

Ilikuwa ni Jumapili ya Kifalme mjini Dodoma Ambapo Mbaba mmoja alikuja na jeraha kubwa mguuni pake na jeraha hilo lilimfanya ashindwe kutembea kabisa wakati ibada inaendelea Nabii Linus Tesha aliona tatizo juu ya Baba huyo ndipo akamuombea na mara Baba huyo akatupa...

IBADA KUU YA KIKUHANI KUSIFU NA KUABUDU KUFANYIKA MJINI DODOMA WIKI HII NA NABII LINUS TESHA.

Ibada kubwa ya Kikuhani ya kusifu na kuabudu kufanyika Jumapili Dodoma wiki hii ambapo mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha ataongoza ibada hii kubwa pia tunaalika waimbaji mbalimbali kufika kama wewe ni muimbaji tunapenda kutambua uwepo wako mapema kwa mawasiliano tupigie...