Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

NABII LINUS TESHA AMSIFU GOODLUCK GOZBERT NAKUMTABIRIA MAKUBWA ZAIDI TANZANIA.

Mwimbaji Wa Kimataifa Goodluk Gozbert Ambaye Pia Ni Rafiki Mkubwa Wa Nabii Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania Mwenye Makao Yake Mjini Dodoma,Na Tawi Jijini Dar Es Salaam,Nabii Linus Tesha,. Kwa Matangazo Wasiliana nasi kwa nambari 0713040730. Wote Mnakaribishwa.

TUNA DEAL NA WEBSITE NA BLOG DESIGN TEMBELEA UKURASA WETU KILA SIKU.

Unique 1 Tanzania Inakuletea Website Na Blog Design Hakikisha Unatembelea Kurasa Yetu Kila Siku Upate Kunufaika Na Update Mbalimbali.We Give You What You Deserve.Be Connected. Tupigie Kwa Nambari 0713040730

KUTANA NA NABII WA KIMATAIFA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Kutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Mwenye Kuongoza Kundi Kubwa La Watu Wa Mungu Katika Ukombozi Juu Ya Maisha Yao,Nabii Linus Tesha Ambaye Ni Nabii Kiongozi Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukombozi Nchini Tanzania(MRD),Kwa Sasa Unaweza Kutembelea Huduma Zake Kwa Dodoma Yuko Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Machinjio Ya Veta Na Kwa Dar Es Salaam Anapatikana Njia Panda Segerea,Ya Majumba Sita Nyuma Ya Godauni Kubwa La Ushirika. Kwa Mawasiliano Piga 0713040730/0719462642.Watu Wakabila Yote Bila Kusahau Dhehebu Lolote Lile Wote Mnakaribishwa.

Friday, June 9, 2017

11TH,JUNE NI JUMAPILI YA KUREJESHEWA HESHIMA BY PROPHET LINUS TESHA



#JUMAPILI HII YA TAREHE 11,JUNE-2017, UTAREJESHEWA HESHIMA.
Shalom,Nakualika Katika ibada kuu ya Kurejeshewa Kibali cha Heshima,Kuanzia saa nne(4) Asubuhi Mahali ni Dodoma-nyuma ya Bunge mkabala na Veta Club,yamkini Umedharaulika sana katika ndoa yako,magonjwa sugu yanakusumbua,yamkini Biashara zako haziendi na umekuwa ukiishi na roho ya kukataliwa ,njoo upokee ukombozi kutoka kwa Bwana Yesu na Ibada hii itaendeshwa na Nabii Mkuu Major Prophet Linus Tesha.
#Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.

MKESHA MKUBWA WA KUMKUMBUSHA BWANA MJINI DODOMA-MAKULU

#Save the Date.
ÑI USIKU WA KUMKUMBUSHA BWANA. TAR 23/6/2017.
MAKULU- DODOMA.
0769661628
0657578982
#Dir Oswaldjr.
#Unique 1

Thursday, June 8, 2017

NI KWA NEEMA-PROPHETESS MARY LINUS TESHA.


NEW RELEASED GOSPEL SONG FROM PROPHETESS MARY LINUS TESHA.
Ni kwa Neema By Prophetess Mary LInus Tesha.
Now Official(Audio) Available @Youtube.
Click link hii kusikiliza https://youtu.be/zpV4cxix05E
Baada ya Kusikiliza Usisahau Kusubscribes.
#Dir Oswaldjr.
#Unique 1 Productions

NI KWA NEEMA-PROPHETESS MARY LINUS TESHA

PROPHETESS MARY LINUS TESHA KUACHIA NYIMBO MPYA 
"NI KWA NEEMA".
Nabii Mary Linus Tesha ameachia nyimbo mpya inayokwenda kwa Jina la "NI KWA NEEMA"Kupitia nyimbo hii ametueleza Usijivune na wala usichezee Neema kwa maana kuishi Kwako sio ujanja Ujanja,kazi ,Elimu na pesa zako Vyote ni kwa Neema Ya Mungu usiringe Neema isiondoke.......get ready For more songs From Prophetess Mary Linus Tesha.
#Dir Oswaldjr.
#Unique 1 Productions

Wednesday, June 7, 2017

PRESIDENT OF UNIQUE 1 PRODUCTIONS.

Unique 1 productions popote ulipo tutakufikia matangazo,picha na vidio shooting kali tunafanya Kwa Bei nafuu na viwango vizuri vya soko la kidunia usiache kufuatilia page yetu facebook Unique 1 Productions.Wote manakaribishwa contact:+255713040730.

Tuesday, June 6, 2017

UNIQUE 1 PRODUCTIONS LEGEND

Like page Yetu Facebook inayokwenda kwa jina la Unique 1 Productions Kupata kazi za uhakika na za viwango vya juu sana ungana nasi kila siku kwa mawasilianio piga +255713040730

Monday, June 5, 2017

MUNGU UPO NASI-MIRIAM KIBAYA

#MUNGU UPO NASI-MIRIAM KIBAYA.
Mwimbaji Wa KImataifa wa Nyimbo za Injili Tanzania MIRIAM KIBAYA Kupitia Nyimbo yake Ya MUNGU UPO NASI anatueleza Katika kudharauliwa kubezwa na Kutukanwa kumbuka MUNGU YUPO NASI usikate tamaa,hata katika shida yako Mungu atakushindia na wala usimwache Mungu Kwasababu ya Vitisho vya maadui au jaribu lolote.
Kupata connected na Kazi za Mwimbaji huyu nenda katika Katika Ukurasa Wako Wa Facebook Andika MIRIAM KIBAYA,Utapata Update na kazi zake mbalimbali zitakubariki.
MUNGU UPO NASI-MIRIAM KIBAYA.
#DIR OSWALDJR.
#UNIQUE 1