Unique 1 Production

Friday, June 9, 2017

11TH,JUNE NI JUMAPILI YA KUREJESHEWA HESHIMA BY PROPHET LINUS TESHA



#JUMAPILI HII YA TAREHE 11,JUNE-2017, UTAREJESHEWA HESHIMA.
Shalom,Nakualika Katika ibada kuu ya Kurejeshewa Kibali cha Heshima,Kuanzia saa nne(4) Asubuhi Mahali ni Dodoma-nyuma ya Bunge mkabala na Veta Club,yamkini Umedharaulika sana katika ndoa yako,magonjwa sugu yanakusumbua,yamkini Biashara zako haziendi na umekuwa ukiishi na roho ya kukataliwa ,njoo upokee ukombozi kutoka kwa Bwana Yesu na Ibada hii itaendeshwa na Nabii Mkuu Major Prophet Linus Tesha.
#Prophet Linus Tesha.
#Prophetic Machine.

0 comments:

Post a Comment