Unique 1 Production

Monday, June 5, 2017

MUNGU UPO NASI-MIRIAM KIBAYA

#MUNGU UPO NASI-MIRIAM KIBAYA.
Mwimbaji Wa KImataifa wa Nyimbo za Injili Tanzania MIRIAM KIBAYA Kupitia Nyimbo yake Ya MUNGU UPO NASI anatueleza Katika kudharauliwa kubezwa na Kutukanwa kumbuka MUNGU YUPO NASI usikate tamaa,hata katika shida yako Mungu atakushindia na wala usimwache Mungu Kwasababu ya Vitisho vya maadui au jaribu lolote.
Kupata connected na Kazi za Mwimbaji huyu nenda katika Katika Ukurasa Wako Wa Facebook Andika MIRIAM KIBAYA,Utapata Update na kazi zake mbalimbali zitakubariki.
MUNGU UPO NASI-MIRIAM KIBAYA.
#DIR OSWALDJR.
#UNIQUE 1

0 comments:

Post a Comment