Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

Monday, October 23, 2017

DAY 1 BISHOP GWAJIMA CRUSADE ATIKISA-TEGETA, HUKU MASANJA AKITAMBA NA KIBAO CHAKE KIPYA

<iframe src="https://web.facebook.com/plugins/video.php?href=https%3A%2F%2Fweb.facebook.com%2Fjgwajima%2Fvideos%2F1646354775439576%2F&show_text=1&width=560" width="560" height="641" style="border:none;overflow:hidden" scrolling="no" frameborder="0" allowTransparency="true"...

Saturday, October 21, 2017

NABII LINUS TESHA KUITIKISA JIJI LA MWANZA KWA SIKU MBILI

Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya MRD INT'L PROPHETIC MINISTRIES TANZANIA,Nabii Linus Tesha Atakuwa Akifanya Huduma Jijini Mwanza Pale Buzuruga Mwananchi Siku Ya Jummanne Na Jumatano Tar 24 na 25 Mwezi Huu Wa 10,2017.Usipange Kukosa Mungu Anakwenda...

Saturday, October 14, 2017

MAJOR PROPHET LINUS TESHA KUHITIMISHA MAOMBI YA SIKU 7 JIJINI DAR ES SALAAM TZ.

Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya Mafunuo Na Ukumbozi Tanzania Siku Ya Kesho Tar 15/10/2017 Ataongoza Ibada Kubwa Ikiwa Ni Mwezi Wa Dhahabu,Atabariki Watu Na Kuwaombea Huku Akiwaambatanisha Na Baraka Kuu Za Mungu Na Siku Ya Kesho Jumapili Ni Siku Ya Mwisho Yaani Hitimisho La Maombi...

IBADA DODOMA KUONGOZWA NA APOSTLE MATHIAS SON OF MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Jumapili Ya Tar 15 Mwezi Huu Wa 10 Itaongozwa Na Apostle Kiongozi Apostle Mathias Mtoto Wa Nabii Linus Tesha Ibada Itafanyika Dodoma Nyuma Ya Bunge Mkabala Na Veta Club Kwa Mawasiliano Piga 0719462642 Kufika Kanisani Ibada itaanza Mapema Saa 4 Asubuhi.Watu Wadini Zote Na Kabila...

Sunday, October 8, 2017

SIKU 7 ZA SEMINA YA MAOMBI JIJINI DAR ES SALAAM BY PROPHET LINUS TESHA

#SIKU 7 ZA MAOMBI JIJINI DAR ES SALAAM. Shalom Karibu Katika Siku 7 Za Maombi Jijini Dar Es Salaam Kupitia Maombi Haya Mambo Makubwa Yaliyo jificha Juu Ya Maisha Yako Ikiwemo Baraka Za Mungu Zinakwenda Kujidhiirisha Kwako Na Familia Yako,Naachilia Kibali Cha Kufika Katika...

Saturday, October 7, 2017

NABII LINUS TESHA ATUA JIJINI DAR ES SALAAM TOKEA MWANZA

Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya Mafanuo Na Ukombozi Tanzania Nabii Linus Tesha Atua Jijini Dar Es Salaam,Tokea Mwanza Kwaajili Ya Ibada Ya Kinabii Itakayo Fanyika Hapa Jijini Dar Es Salaam Siku Ya Leo Jumapili Kuanzia Majira Ya Saa 5 Asubuhi Pale Njiapanda Segerea Nyuma Ya Godauni...

KARIBU UNIQUE 1 PRODUCTION TANZANIA KWA KAZI ZA VIWANGO VIKUBWA.

Unique I Production Inadeal Na Maswala Mbalimbali Ya Production Kama Kuandaa Matangazo Ya Huduma,Event Mbalimbali,Kushoot Harusi Na Kupiga Picha,Website and Blog Design,social networking Management System na Nk.........Kwa Mawasiliano Piga 07130407...

Wednesday, October 4, 2017

REV.EMMANUEL MGOGO-UMEKUSUDIWA NA MUNGU COVER DESIGN BY UNIQUE 1.

Cover By Unique 1 Productions Tanzania Call Us 0713040...

TANGAZA HUDUMA YAKO NA BLOG YETU KWA MAWASILIANO PIGA 0713040730.

Unique 1 Production Tanzan...

MASWALA YA IT, GRAPHICX DESIGN,WEBSITE & BLOG DESIGN -PIGA 0713040730

Unique 1 Production Team Inakuletea Uandaaji Wa Matangazo Mbalimbali Ya Aina Zote Kwa Bei Nafuu Zaidi Waweza Kuwasiliana Nasi Kwa 0713040730 Kupata Huduma Zaidi Wote Mnakaribish...

Tuesday, October 3, 2017

NABII MKUU LINUS TESHA KUTUA MWANZA KWA SIKU 3 ZA KINABII.........

Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya Mafanuo Na Ukombozi Tanzania Anatarajia Kutua Mwanza Tar 4-6/10/2017 Ambapo Atafanya Huduma Ya Kinabii Kwa Watu Wa Butimba Kona Mtu Wa Mwanza Akikisha Ukosi Fursa Hii Ya Kukutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Ataweka Maisha Yako Sawa...

Monday, October 2, 2017

OCTOBER IS THE GOLDEN MONTH BY PROPHET LINUS TESHA

Mwezi Wa 10 Ni "GOLDEN MONTH" Hagai 2:8 Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,asema Bwana Wa Majeshi,Nikiwa Na Nabii Wa Bwana Mwezi Huu Fedha Ikawe Sehemu Yako Na Miujiza Ya Kipesa Ikaambatane Na Wewe....Receive In Jesus Name,CC.Prophet Linus Tes...