Unique 1 Production

Saturday, October 21, 2017

NABII LINUS TESHA KUITIKISA JIJI LA MWANZA KWA SIKU MBILI












Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya MRD INT'L PROPHETIC MINISTRIES TANZANIA,Nabii Linus Tesha Atakuwa Akifanya Huduma Jijini Mwanza Pale Buzuruga Mwananchi Siku Ya Jummanne Na Jumatano Tar 24 na 25 Mwezi Huu Wa 10,2017.Usipange Kukosa Mungu Anakwenda Kutenda Matendo Makuu Kwa Wenye Kansa,Kisukari,Ukimwi Na Magonjwa Yote Sugu Wanakwenda Kupokea Uponyaji Wao Katika Jina La Yesu.........Alika Na Wengine Upatapo Matangazo Haya.
Contact 0713040730.

0 comments:

Post a Comment