Unique 1 Production

Tuesday, October 3, 2017

NABII MKUU LINUS TESHA KUTUA MWANZA KWA SIKU 3 ZA KINABII.........



Nabii Mkuu Wa Makanisa Ya Mafanuo Na Ukombozi Tanzania Anatarajia Kutua Mwanza Tar 4-6/10/2017 Ambapo Atafanya Huduma Ya Kinabii Kwa Watu Wa Butimba Kona Mtu Wa Mwanza Akikisha Ukosi Fursa Hii Ya Kukutana Na Nabii Wa Kimataifa Nabii Linus Tesha Ataweka Maisha Yako Sawa Kwa Uweza Wa Roho Mtakatifu Soma Maelekezo Vizuri Kwa Tangazo Hakikisha Unaalika Na Wengine By Diretor Oswald Teshajr@Official Unique 1 Tz.

0 comments:

Post a Comment