Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

Monday, October 17, 2016

HALLELUYAH WORSHIPPERS

...

MTINDO ELIAS GWITEGO KUZINDUA GROUP JIPYA LA HALLELUYAH WORSHIPPERS.

Kwa mara ya kwanza Mtindo Elias akiliongoza Group la PRAISE and WORSHIP linalokwenda Kwajina la HALLELUYAH WORSHIPPERS ni group la kuabudu na kumsifu Mungu ambalo mda sio mrefu litaanza tour zake nchi nzima na mikoa yake kwa lengo la kutangaza habari njema za Yesu Kristo...

AMAZING INTERVIEW DONE BY CATHERINE MKOMA

Ilikuwa siku ya pekee CATHERINE MOKOMA kufanya INTERVIEW na MBEYA HIGHLAND RADIO ABOUT few days a...

CATHERINE MKOMA COVER

...

DIR.OSWALDJR IFAKARA-LUEMO

...

DIR_OSWALDJR ON TASK SHOOTING ON ALL DAYS OF CRUSADE IFAKARA-LUMEMO.

Ilikuwa katika mkutano mkubwa wa injili wa siku sita mlulizo mjini ifakara-lumemo ambapo mkutano huo uliendeshwa na mtumii wa Mungu nahum malakalinga watu waliponywa sana na kumpa Yesu maisha y...

FOUNDER OF G_TOUCH MEDIA AND GOSPEL TOUCH SINGERS TANZANIA.

My name is Oswald B.Tesha founder of G_TOUCH MEDIA and GOSPEL TOUCH SINGERS TANZANIA The aim is to promote and give wide support to all upcoming Gospel artists and Gospel artists who are al;ready succeeded in the industry through social networks by making people aware of...

Friday, October 14, 2016

MWAMIN MUYERO KUZINDUA ALBUM YAKE YA NIMEPATA PUMZIKO MWEZI HUU 23.10.2016

Mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania MWAMIN MUYERO-MWELADZI atazindua Album yake ya NIMEPATA PUMZIKO ni Album iliyobeba jumbe nzuri za Mungu na Katika Uzinduzi huu hakuna Kiingilio Upatapo tangazo hili alika na mwingine mwambie rafiki ni bureee.....! Ni tarehe 23.10.2016.Njoo...

PROPHET FRANK ATAFANYA MKUTANO MKUBWA WA KINABII BUKOBA TAREHE 28-30 MWEZI 10, 2016.

Shiloh International Ministries inakuletea mkutano mkubwa wa Kinabii utakao fanyika Mkoani BUKOBA katika viwanja vya Gymkhana kuanzia tarehe 28-30 mwezi huu wa 10,2016 ambapo mnenaji mkuu atakuwa ni Nabii Frank Julius Kilawah upatapo Tangazo hili mjulishe na mwingin...

CATHERINE MKOMA AFANYA NYIMBO MPYA NCHINI KENYA.

Mara baada ya kumaliza uzinduzi wa YVONNE ANTONY The GOSPEL ARTIST TOKA TANZANIA CATHERINE MKOMA Alikwenda studio za mjini mombasa Kenya kufanya collaboration ya nyimbo mpya akiwa yeye na YVONNE ANTONY pamoja na ELIZABETH ANTONY Nyimbo inayokwenda kwa jina la SINA MWINGINE...

MARTHA MWAIPAJA ASHEREKEA BIRTHDAY YAKE LEO.

Jana tarehe 13.10.2016 ilikuwa ni siku ya mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzani MARTHA MWAIPAJA kusherekea siku yake ya Kuzaliwa.Ilikuwa siku ya pekee sana ambapo watu wengi walitumia fursa hii kumtakia heri na Baraka tele katika mafanikio ya kuineza injili Duniani kote kwanjia...

CATHERINE MKOMA: CATHERINE MKOMA AFANYA COLLABO YA SINA MWINGINE ZA...

CATHERINE MKOMA: CATHERINE MKOMA AFANYA COLLABO YA SINA MWINGINE ZA...: CATHERINE MKOMA Gospel Artist toka Tanzania amepata fursa nyingine nchini kenya mombasa kwa kufanya nyimbo nyingine ya collaboration akiwa na YVONNE ANTONY na ELIZABETH ANTONY nyimbo inaitwa SINA ZAIDI...

Monday, October 10, 2016

PRAISE AND WORSHIP TEAM

Ilikuwa siku ya mkesha wa vijana kutoka makanisa mbalimbali na ulikwa ni mkesha wenye baraka sana na kila mtu alifura...

SUPERVISER WA G_TOUCH MEDIA AZALIWA LEO.

Heri ya kuzaliwa leo ndugu yangu OBBY Mungu amekuweka Duniani ili kuifanya kazi yake bila kuchoka na mimi nakutia moyo songa mbele baraka na mafanikio vikufuate dai...

HONGERA GLADYS PJO KIMARO KWA KUZALIWA LEO.

Siku zote unapo zaliwa ndipo unapo uanza mwaka na unapobahatika kuunza Mungu ni bahati na Baraka za pekee sana maana sikila mtu anaweza kuiona siku ya kuzaliwa kwake isipokuwa ni kwa uweza wa Mungu Baba mwenyezi na leo Tunafuraha sana kumpongeza Gladys pjo Kimaro heri ya kuzaliwa...

GLADYS PJO KIMARO AZALIWA SIKU KAMA YA LEO.

Gladys pjo Kimaro leo asherekea siku ya kuzaliwa kwake na G_TOUCH media kiujulmla inamtakia maisha marefu na yenye baraka te...

MTINDO GWITEGO AJANASTAILI MPYA.

MTINDO GWITEGO atangaza rasmi jina la kikundi chake kipya ambacho ni HALLELUYAH WORSHIPPERS na hivi karibuni ataambata na timu hiyo mikoa yote ya Tanzania kutangaza neno la Mungu kwanjia ya Kumsifu na Kumuabudu Mungu pia ndani ya kikundi hicho utapata kujifunza masomo mbalimbali...

NABII FRANK ATAHUBIRI BUKOBA MWISHIONI MWA MWEZI WA KUMI.

Usipange KUKOSA Mkutano Mkubwa wa Kinabii mwisho wa mwezi huu kuanza 28 mpaka 30 october,2016 MHUBIRI NI NABII FRANK JULIUS KILAWAH.Upatapo Tangazo hili mjulishe na mwngine. DIR_OSWALDJRG_TOUCH MEDI...

Saturday, October 8, 2016

MTINDO ELIAS TOUR

Kwa mara ya kwanza MTINDO ELIAS GWITEGO ataanza tour yake ya PRAISE AND WORSHIP TANZANIA NZIMA na ataambatana na PRAISE TEAM yake Usikubali Kukosa hii IT IS MTINDO TO...