Unique 1 Production

TUNAFANYA VIDEO EDIT NA GRAPHICS ZA AINA ZOTE TEMBELEA KURASA ZETU.

Kampuni Ya Unique 1 Inakuletea Kazi Bora Zaidi Kuanzia Graphics Designing,Video Editing Wasiliana Nasi Kwa Nambari 0713040730

Friday, November 18, 2016

MUUJIZA WA RASHID KUONA BAADA YA KUOMBEWA NA MAJOR PROPHET LINUS TESHA

Ashukuriwe Mungu Baba wa Mbinguni kwa kuzidi kudhihirisha matendo yake makuu katika madhabahu ya MRD PROPHETIC MINISTRY kupitia mtumishi wake Nabii Linus Tesha na hii ni baada Kijana Rashid aliyepofuka macho kabisa na alikuwa haoni chochote kile...

Friday, November 11, 2016

SIKU YA KWANZA YA SEMINA DAR ES SALAAM PROPHET LINUS AKIFUNDISHA NA KUFUNGUA MAISHA YA WATU.

Ikiwa ni siku ya Kwanza kabisa ya Semina ya Kupokea roho ya mafanikio iliyoendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha Hapa jijini Dar es salaam-njia panda segerea nyuma ya magodauni ya ushirika Alianza na Prophetic teaching...

Thursday, November 10, 2016

CASFETA WILAYA YA ILALA KUFANYA MKESHA LEO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST.JOHN BUGURUNI-MALAPA.

IJUMAA YA LEO Vijana wa CASFETA Wilaya ya ILALA Wamekuandalia Mkesha wa OVERNIGHT PRAYERS Utakaofanyika ST.JOHN'S UNIVERSITY,DAR ES SALAAM Iliyoko Buguruni Malapa Muda wa kuanza ni Saa TATU usiku Mpaka Saa Kumi na moja Alfajiri,Usipange Kukosa wewe Kijana maana wakati sahihi...

PROPHET LINUS TESHA ATAFANYA SEMINA JIJINI DAR ES SALAAM KESHO IJUMAA MPAKA JUMAPILI.

Watu wa Dar es Salaam msijaribu kukosa SEMINA ya Kupokea roho ya MAFANIKIO kuanzia kesho ijumaaa Tar11/11/2016 hadI Jumapili ya Tar13/11. kuanzia sa10jion-1usiku.kumbuka Jumapili ni saa6 mchana had 10 jion..mahali;njia panda segerea nyuma ya magodauni ya ushirika.piga 0719...

Thursday, November 3, 2016

MOTO UTAENDELEA KUWAKA LEO IKIWA NI SIKU YA NNE(4) YA SEMINA KUBWA YA UKOMBOZI WA UCHUMI NA FAMILIA.

Semina inaendelea leo saa Tisa na Nusu Nabii Linus Tesha ataongoza Mtu mmoja mmoja katika maombi ya Ukombozi kutoka kwenye Madhabahu zinazosababisha umasikini na hasara katika maisha ya watu.Pokea ukombozi katika uchumi wako...USIPANGE KUKO...

Wednesday, November 2, 2016

GOSPEL SINGER ALL THE TIME TANZANIA CATHERINE MKOMA.

Call us to get your Album SITA SAHAU WEMA WA MUNGU Contact:+255713040730/+2557155704...

CATHERINE MKOMA GOSPEL ARTIST TANZANIA

SITASAHAU WEMA WA MUNGU NOW AVAILABLE CALL US:+255713040730/+255715570...

SEMINA YA UKOMBOZI WA UCHUMI NA FAMILIA KUENDELEA LEO IKIWA NI SIKU YA 3

Ikiwa ni siku ya tatu ya semina ya ukombozi wa uchumi na familia watu wanazidi kufunguliwa na watu wengi kubarikiwa na semina inayoendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii linus Tesha kufika eneo la semina,Kanisa lipo nyuma ya BUNGE mkabala na Hoteli ya veta fika bila...