Unique 1 Production

Friday, November 11, 2016

SIKU YA KWANZA YA SEMINA DAR ES SALAAM PROPHET LINUS AKIFUNDISHA NA KUFUNGUA MAISHA YA WATU.

















Ikiwa ni siku ya Kwanza kabisa ya Semina ya Kupokea roho ya mafanikio iliyoendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii Linus Tesha Hapa jijini Dar es salaam-njia panda segerea nyuma ya magodauni ya ushirika Alianza na Prophetic teaching huku akifungua maisha ya watu yalifungwa katika magonjwa sugu,pia aliendelea kuwafungua watu walioonewa na kushikiliwa maisha yao na shetani.Usikose Leo ni Siku Ya Pili.
MRD PROPHETIC MINISTRY DAR ES SALAAM.
DIR_OSWALDJR
G_TOUCH MEDIA

0 comments:

Post a Comment