Unique 1 Production

Wednesday, November 2, 2016

SEMINA YA UKOMBOZI WA UCHUMI NA FAMILIA KUENDELEA LEO IKIWA NI SIKU YA 3




Ikiwa ni siku ya tatu ya semina ya ukombozi wa uchumi na familia watu wanazidi kufunguliwa na watu wengi kubarikiwa na semina inayoendeshwa na mtumishi wa Mungu Nabii linus Tesha kufika eneo la semina,Kanisa lipo nyuma ya BUNGE mkabala na Hoteli ya veta fika bila kukosa maana mwezi huu ni mwezi wa baraka zako na uwezi kumiliki bila ya kufunguliwa katika vifungo vya shetani.

0 comments:

Post a Comment