Unique 1 Production

Friday, November 18, 2016

MUUJIZA WA RASHID KUONA BAADA YA KUOMBEWA NA MAJOR PROPHET LINUS TESHA











Ashukuriwe Mungu Baba wa Mbinguni kwa kuzidi kudhihirisha matendo yake makuu katika madhabahu ya MRD PROPHETIC MINISTRY kupitia mtumishi wake Nabii Linus Tesha na hii ni baada Kijana Rashid aliyepofuka macho kabisa na alikuwa haoni chochote kile mpaka madaktari bingwa wameshindwa ndipo Rashid na ndugu zake waliamua kuchukua hatua ya kuja katika maombi baada ya kukutana na Major Prophet Linus Tesha Rashid alipata kuona tena katika jina la Yesu.

0 comments:

Post a Comment