Unique 1 Production

Thursday, November 10, 2016

CASFETA WILAYA YA ILALA KUFANYA MKESHA LEO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST.JOHN BUGURUNI-MALAPA.

IJUMAA YA LEO Vijana wa CASFETA Wilaya ya ILALA Wamekuandalia Mkesha wa OVERNIGHT PRAYERS Utakaofanyika ST.JOHN'S UNIVERSITY,DAR ES SALAAM Iliyoko Buguruni Malapa Muda wa kuanza ni Saa TATU usiku Mpaka Saa Kumi na moja Alfajiri,Usipange Kukosa wewe Kijana maana wakati sahihi wa kuutafuta uso wa Mungu ni sasa nasio Kesho Upatapo tangazo hili Mwalike na mwingine.
#VIJANA WATATABIRI NA WAZEE WATAOTA NDOTO WEWE KIJANA USIKUBALI KULALA NJOO TUSALI PAMOJA.
DIRECTOR.OSWALDJR
G_TOUCH MEDIA

0 comments:

Post a Comment