Unique 1 Production

Thursday, November 3, 2016

MOTO UTAENDELEA KUWAKA LEO IKIWA NI SIKU YA NNE(4) YA SEMINA KUBWA YA UKOMBOZI WA UCHUMI NA FAMILIA.

Semina inaendelea leo saa Tisa na Nusu Nabii Linus Tesha ataongoza Mtu mmoja mmoja katika maombi ya Ukombozi kutoka kwenye Madhabahu zinazosababisha umasikini na hasara katika maisha ya watu.
Pokea ukombozi katika uchumi wako...USIPANGE KUKOSA.

0 comments:

Post a Comment